Software that keeps the till and the fuel pump honest.
Swebetech inasanifu na kusimamia mifumo thabiti ya TEHAMA kwa vituo vya mafuta, maduka ya jumla na rejareja, hospitali na gereji kote Tanzania: Dodoma, Arusha, Mbeya, Songwe, Songea, Rukwa na Katavi. Inafanya kazi 100% bila intaneti na inatoa risiti sahihi za kidijitali za mauzo.